Jumanne, 26 Desemba 2017

Mungu ndiye mlinzi



USOME ujumbe huu usilie,utakupa faraja na imani ya kuendelea kumtegemea Mungu!!!!!
Kaka mmoja aliota ndoto usiku kwamba kuna watu wanafanya process za mazishi nyumbani kwao,,wakati watu wakiwa wanaendelea na shughuri za mazishi akanyanyuka na kumfuata mzee wa kiume jirani yake na kumuuliza kuwa nani amefariki??mazishi yanayofanywa ni ya nani maana nipo hapa nyumbani sijui aliyefariki?
Yule mzee akamjibu nenda angalia picha ya Marehemu kwenye jeneza ,kijana yule akainuka na kwenda kwenye jeneza,ile anaona picha akakuta ni yake,
ndipo alipoanza kulia na kupiga kelele Kwa umati wa watu pale kwenye mazishi kuwa wasiendelee na taratibu za mazishi kwani yeye yuko hai!!
Lakini umati ulimjibu ameshachelewa ni too late,atazikwa hivyohivyo!!
Ghafla akaamka toka usingizini,
Kijana kuona hivyo akajisogeza pembeni mwa kitanda akiwa mwili wote umeloa jasho akapiga magoti na kulia mbele za Mungu ,akimwambia Mungu yeyote ambae anataka amtoe roho afe yeye kwanza
Ndipo akarudi kitandani kulala!!Mara kabla hakujakucha akapokea simu kuwa mama yake mdogo amefariki,kumbe mama yake mdogo alikuwa na mpango wa kumtoa kafara kijana huyo,na Mungu akamurudia mwenyewe
Kama unakataa Kwa jina LA Yesu kuwa yeyote anayepanga kukutoa uhai wako usivuke mwaka mpya type Ameni Mungu aku tetee
..

Hakuna maoni: